Qul Hadhihi Sabīlī 'Ad`ū 'Ilaá Allāhi `Alaá Başīratin 'Anā Wa Man Attaba`anī Wa Subĥāna Allāhi Wa Mā 'Anā Mina Al-Mushrikīna (Yūsuf: 108). |
108. Sema: Hii ndiyo Njia yangu - ninalingania kwa Mwenyezi Mungu kwa kujua - mimi na wanao nifuata. Na ametakasika Mwenyezi Mungu! Wala mimi si katika washirikina. |