Khālidīna Fīhā Mā Dāmti As-Samāwātu Wa Al-'Arđu 'Illā Mā Shā'a Rabbuka 'Inna Rabbaka Fa``ālun Limā Yurīdu (Hūd: 107). |
107. Watadumu humo muda wa kudumu mbingu na ardhi, isipo kuwa apendavyo Mola wako Mlezi. Hakika Mola wako Mlezi hutenda apendavyo. |