Wa Kadhalika 'Akhdhu Rabbika 'Idhā 'Akhadha Al-Quraá Wa Hiya Žālimatun 'Inna 'Akhdhahu 'Alīmun Shadīdun (Hūd: 102). |
102. Na ndio kama hivyo ndivyo inavyo kuwa Mola wako Mlezi anapo ikamata miji inapo kuwa imedhulumu. Hakika mkamato wake ni mchungu na mkali. |