Falammā Ra'aá 'Aydiyahum Lā Taşilu 'Ilayhi Nakirahum Wa 'Awjasa Minhum Khīfatan Qālū Lā Takhaf 'Innā 'Ursilnā 'Ilaá Qawmi Lūţin (Hūd: 70). |
70. Basi alipoona mikono yao haimfikilii aliwatilia shaka, na akawaogopa. Wakasema: Usiogope! Hakika sisi tumetumwa kwa kaumu ya Lut'. |