Wa Yā Qawmi Astaghfirū Rabbakum Thumma Tūbū 'Ilayhi Yursil As-Samā'a `Alaykum Midrārāan Wa Yazidkum Qūwatan 'Ilaá Qūwatikum Wa Lā Tatawallaw Mujrimīna (Hūd: 52). |
52. Na enyi watu wangu! Muombeni msamaha Mola wenu Mlezi, kisha mtubie kwake. Atakuleteeni mbingu zenye kunyesha mvua ya kumiminika, na atakuzidishieni nguvu juu ya nguvu zenu. Wala msigeuke mkawa wakosefu. |