'Inna Al-Ladhīna 'Āmanū Wa `Amilū Aş-Şāliĥāti Wa 'Akhbatū 'Ilaá Rabbihim 'Ūlā'ika 'Aşĥābu Al-Jannati Hum Fīhā Khālidūna (Hūd: 23). |
23. Hakika wale walio amini,na wakatenda mema, na wakanyenyekea kwa Mola wao Mlezi, hao ndio watu wa Peponi, na humo watadumu. |