Wa Attabi` Mā Yūĥaá 'Ilayka Wa Aşbir Ĥattaá Yaĥkuma Allāhu Wa Huwa Khayru Al-Ĥākimīna (Yūnis: 109).

Next Sūrah >>    Recite again    
109. Na wewe fuata yanayo funuliwa kwako kwa wahyi. Na vumilia mpaka Mwenyezi Mungu ahukumu, na Yeye ndiye mbora wa mahakimu. *