Fahal Yantažirūna 'Illā Mithla 'Ayyāmi Al-Ladhīna Khalaw Min Qablihim Qul Fāntažirū 'Innī Ma`akum Mina Al-Muntažirīna (Yūnis: 102). |
| 102. Basi, je! Wanangojea jingine ila kama yaliyo tokea siku za watu walio pita kabla yao? Ngojeni! Nami ni pamoja nanyi katika wanao ngoja. |