Famā 'Āmana Limūsaá 'Illā Dhurrīyatun Min Qawmihi `Alaá Khawfin Min Fir`awna Wa Mala'ihim 'An Yaftinahum Wa 'Inna Fir`awna La`ālin Fī Al-'Arđi Wa 'Innahu Lamina Al-Musrifīna (Yūnis: 83). |
| 83. Basi hawakumuamini Musa isipo kuwa baadhi ya vijana vya kaumu yake, kwa kumwogopa Firauni na wakuu wao wasiwatese. Kwani hakika Firauni alikuwa jeuri katika nchi. Na kwa yakini alikuwa miongoni mwa walio pita kiasi. |