Qālū Attakhadha Allāhu Waladāan Subĥānahu Huwa Al-Ghanīyu Lahu Mā Fī As-Samāwāti Wa Mā Fī Al-'Arđi 'In `Indakum Min Sulţānin Bihadhā 'Ataqūlūna `Alaá Allāhi Mā Lā Ta`lamūna (Yūnis: 68). |
68. Wamesema: Mwenyezi Mungu ana mwana. Subhanahu, Aliye takasika! Yeye ni Mkwasi, Mwenye Kujitosheleza. Vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi ni vyake peke yake. Nyinyi hamna uthibitisho wowote wa haya! Mnamzulia Mwenyezi Mungu msiyo yajua? |