Huwa Al-Ladhī Ja`ala Lakum Al-Layla Litaskunū Fīhi Wa An-Nahāra Mubşirāan 'Inna Fī Dhālika L'āyātin Liqawmin Yasma`ūna (Yūnis: 67). |
67. Yeye ndiye aliye kujaalieni usiku mpate kutulia humo, na mchana wa kuonea. Hakika katika haya zipo Ishara kwa watu wanao sikia. |