Lahumu Al-Bushraá Fī Al-Ĥayāati Ad-Dunyā Wa Fī Al-'Ākhirati Lā Tabdīla Likalimāti Allāhi Dhālika Huwa Al-Fawzu Al-`Ažīmu (Yūnis: 64). |
64. Wao wana bishara njema katika maisha ya dunia na katika Akhera. Hapana mabadiliko katika maneno ya Mwenyezi Mungu. Huko ndiko kufuzu kukubwa. |