Wa Mā Žannu Al-Ladhīna Yaftarūna `Alaá Allāhi Al-Kadhiba Yawma Al-Qiyāmati 'Inna Allāha Ladhū Fađlin `Alaá An-Nāsi Wa Lakinna 'Aktharahum Lā Yashkurūna (Yūnis: 60). |
60. Na nini dhana ya wanao mzulia Mwenyezi Mungu kwa Siku ya Kiyama? Hakika Mwenyezi Mungu ana fadhila juu ya watu, lakini wengi wao hawashukuru. |