Qul Lā 'Amliku Linafsī Đarrāan Wa Lā Naf`āan 'Illā Mā Shā'a Allāhu Likulli 'Ummatin 'Ajalun 'Idhā Jā'a 'Ajaluhum Falā Yasta'khirūna Sā`atan Wa Lā Yastaqdimūna (Yūnis: 49). |
49. Sema: Sijimilikii nafsi yangu shari wala kheri ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Kila umma una muda wao walio wekewa. Ukifika muda wao hawakawii hata saa moja wala hawatangulii. |