'Am Yaqūlūna Aftarāhu Qul Fa'tū Bisūratin Mithlihi Wa Ad`ū Man Astaţa`tum Min Dūni Allāhi 'In Kuntum Şādiqīna (Yūnis: 38). |
38. Je! Ndiyo wanasema ameizua? Sema: Hebu leteni sura moja mfano wake na muwaite (kukusaidieni) muwawezao, isipo kuwa Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi mnasema kweli. |