Hunālika Tablū Kullu Nafsin Mā 'Aslafat Wa Ruddū 'Ilaá Allāhi Mawlāhum Al-Ĥaqqi Wa Đalla `Anhum Mā Kānū Yaftarūna (Yūnis: 30). |
30. Huko kila mtu atayajua aliyo yatanguliza. Na watarudishwa kwa Mwenyezi Mungu, Mola wao wa Haki, na yote waliyo kuwa wakiyazua yatawapotea. |