'Akāna Lilnnāsi `Ajabāan 'An 'Awĥaynā 'Ilaá Rajulin Minhum 'An 'Andhiri An-Nāsa Wa Bashshir Al-Ladhīna 'Āmanū 'Anna Lahum Qadama Şidqin `Inda Rabbihim Qāla Al-Kāfirūna 'Inna Hādhā Lasāĥirun Mubīnun (Yūnis: 2). |
2. Je! Imekuwa ajabu kwa watu kwamba tumemfunulia mmoja wao kuwa: Waonye watu, na wabashirie wale walio amini ya kuwa watakuwa na cheo cha juu kwa Mola wao Mlezi? Wakasema makafiri: Hakika huyu ni mchawi dhaahiri! |