Wa 'Idhā Mā 'Unzilat Sūratun Nažara Ba`đuhum 'Ilaá Ba`đin Hal Yarākum Min 'Aĥadin Thumma Anşarafū Şarafa Allāhu Qulūbahum Bi'annahum Qawmun Lā Yafqahūna (At-Tawbah: 127). |
| 127. Na ikiteremka Sura hutazamana wao kwa wao, (kama kwamba wanasema:) Je! Yuko mtu anakuoneni? Kisha hugeukilia mbali. Mwenyezi amezigeuza nyoyo zao kwa kuwa hao ni watu wasio fahamu. |