Wa Mā Kāna Al-Mu'uminūna Liyanfirū Kāffatan Falawlā Nafara Min Kulli Firqatin Minhum Ţā'ifatun Liyatafaqqahū Fī Ad-Dīni Wa Liyundhirū Qawmahum 'Idhā Raja`ū 'Ilayhim La`allahum Yaĥdharūna (At-Tawbah: 122). |
| 122. Wala haiwafalii Waumini kutoka wote. Lakini kwa nini hawatoki baadhi katika kila kundi miongoni mwao, wakajifunze vyema Dini, na kisha waje kuwaonya wenzao watakapo warejea, ili wapate kujihadharisha? |