Wa Mā Kāna Allāhu Liyuđilla Qawmāan Ba`da 'Idh Hadāhum Ĥattaá Yubayyina Lahum Mā Yattaqūna 'Inna Allāha Bikulli Shay'in `Alīmun (At-Tawbah: 115). |
| 115. Na haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwahisabu watu kuwa wamepotea baada ya kwisha waongoza mpaka awabainishie ya kujiepusha nayo. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua kila kitu. |