Lā Taqum Fīhi 'Abadāan Lamasjidun 'Ussisa `Alaá At-Taqwaá Min 'Awwali Yawmin 'Aĥaqqu 'An Taqūma Fīhi Fīhi Rijālun Yuĥibbūna 'An Yataţahharū Wa Allāhu Yuĥibbu Al-Muţţahhirīna (At-Tawbah: 108). |
| 108. Usisimame kwenye msikiti huo kabisa. Msikiti ulio jengwa juu ya msingi wa uchamngu tangu siku ya mwanzo unastahiki zaidi wewe usimame ndani yake. Humo wamo watu wanao penda kujitakasa. Na Mwenyezi Mungu anawapenda wanao jitakasa. |