Wa 'Ākharūna Murjawna Li'mri Allāhi 'Immā Yu`adhdhibuhum Wa 'Immā Yatūbu `Alayhim Wa Allāhu `Alīmun Ĥakīmun (At-Tawbah: 106). |
| 106. Na wapo wengine wanangojea amri ya Mwenyezi Mungu - ama atawaadhibu au atawasamehe. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua Mwenye hikima. |