Wa Qul A`malū Fasayaraá Allāhu `Amalakum Wa Rasūluhu Wa Al-Mu'uminūna Wa Saturaddūna 'Ilaá `Ālimi Al-Ghaybi Wa Ash-Shahādati Fayunabbi'ukum Bimā Kuntum Ta`malūna (At-Tawbah: 105). |
| 105. Na sema: Tendeni vitendo. Na Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Waumini wataviona vitendo vyenu. Na mtarudishwa kwa Mwenye kujua siri na dhaahiri; naye atakuambieni mliyo kuwa mkiyatenda. |