Sayaĥlifūna Billāhi Lakum 'Idhā Anqalabtum 'Ilayhim Litu`riđū `Anhum Fa'a`riđū `Anhum 'Innahum Rijsun Wa Ma'wāhum Jahannamu Jazā'an Bimā Kānū Yaksibūna (At-Tawbah: 95). |
| 95. Watakuapieni kwa Mwenyezi Mungu mtakapo rudi kwao ili muwaachilie mbali. Basi waachilieni mbali. Hakika hao ni najsi, na makaazi yao ni Jahannamu, kuwa ni malipo kwa waliyo kuwa wakiyachuma. |