Laysa `Alaá Ađ-Đu`afā'i Wa Lā `Alaá Al-Marđaá Wa Lā `Alaá Al-Ladhīna Lā Yajidūna Mā Yunfiqūna Ĥarajun 'Idhā Naşaĥū Lillāhi Wa Rasūlihi Mā `Alaá Al-Muĥsinīna Min Sabīlin Wa Allāhu Ghafūrun Raĥīmun (At-Tawbah: 91). |
| 91. Hapana lawama kwa wanyonge, wagonjwa, na wasio pata cha kutumia, maadamu wanamsafia niya Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Hapana njia ya kuwalaumu wanao fanya wema. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu. |