Wa Lā Tuşalli `Alaá 'Aĥadin Minhum Māta 'Abadāan Wa Lā Taqum `Alaá Qabrihi 'Innahum Kafarū Billāhi Wa Rasūlihi Wa Mātū Wa Hum Fāsiqūna (At-Tawbah: 84). |
| 84. Wala usimsalie kabisa yeyote katika wao akifa, wala usisimame kaburini kwake. Hakika hao wamemkataa Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na wakafa na hali ni wapotofu. |