Astaghfir Lahum 'Aw Lā Tastaghfir Lahum 'In Tastaghfir Lahum Sab`īna Marratan Falan Yaghfira Allāhu Lahum Dhālika Bi'annahum Kafarū Billāhi Wa Rasūlihi Wa Allāhu Lā Yahdī Al-Qawma Al-Fāsiqīna (At-Tawbah: 80). |
| 80. Waombee msamaha au usiwaombee. Hata ukiwaombea msamaha mara sabiini, Mwenyezi Mungu hatawasamehe. Hayo ni kwa sababu ya kuwa wao wamemkataa Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wapotofu. |