Al-Munāfiqūna Wa Al-Munāfiqātu Ba`đuhum Min Ba`đin Ya'murūna Bil-Munkari Wa Yanhawna `An Al-Ma`rūfi Wa Yaqbiđūna 'Aydiyahum Nasū Allāha Fanasiyahum 'Inna Al-Munāfiqīna Humu Al-Fāsiqūna (At-Tawbah: 67). |
67. Wanaume wanaafiki na wanawake wanaafiki, wote ni hali moja. Huamrisha maovu na huyakataza mema, na huifumba mikono yao. Wamemsahau Mwenyezi Mungu, basi na Yeye pia amewasahau. Hakika wanaafiki ndio wapotofu. |