Yaĥdharu Al-Munāfiqūna 'An Tunazzala `Alayhim Sūratun Tunabbi'uhum Bimā Fī Qulūbihim Qul Astahzi'ū 'Inna Allāha Mukhrijun Mā Taĥdharūna (At-Tawbah: 64). |
64. Wanaafiki wanaogopa isije teremshwa Sura itakayo watajia yaliyomo katika nyoyo zao. Sema: Fanyeni mzaha! Hakika Mwenyezi Mungu atayatoa nje hayo mnayo yaogopa. |