'Alam Ya`lamū 'Annahu Man Yuĥādid Allāha Wa Rasūlahu Fa'anna Lahu Nāra Jahannama Khālidāan Fīhā Dhālika Al-Khizyu Al-`Ažīmu (At-Tawbah: 63). |
63. Je, hawajui ya kwamba anaye shindana na Mwenyezi Mungu na Mtume wake, basi huyo atapata Moto wa Jahannamu adumu humo? Hiyo ndiyo hizaya kubwa. |