Wa Law 'Annahum Rađū Mā 'Ātāhum Allāhu Wa Rasūluhu Wa Qālū Ĥasbunā Allāhu Sayu'utīnā Allāhu Min Fađlihi Wa Rasūluhu 'Innā 'Ilaá Allāhi Rāghibūna (At-Tawbah: 59). |
59. Na laiti wao wangeli ridhia kile alicho wapa Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na wakasema: Mwenyezi Mungu anatutosheleza, Mwenyezi Mungu atatupa katika fadhila yake - na pia Mtume wake; hakika sisi ni wenye kumtaka Mwenyezi Mungu! |