Wa Minhum Man Yaqūlu A'dhan Lī Wa Lā Taftinnī 'Alā Fī Al-Fitnati Saqaţū Wa 'Inna Jahannama Lamuĥīţatun Bil-Kāfirīna (At-Tawbah: 49). |
49. Na miongoni mwao wapo wanao sema: Niruhusu wala usinitie katika fitina. Kwa yakini wao hivyo wamekwisha tumbukia katika fitina. Na hakika Jahannamu imewazunguka. |