Law Kharajū Fīkum Mā Zādūkum 'Illā Khabālāan Wa La'awđa`ū Khilālakum Yabghūnakum Al-Fitnata Wa Fīkum Sammā`ūna Lahum Wa Allāhu `Alīmun Biž-Žālimīna (At-Tawbah: 47). |
47. Lau wangeli toka nanyi wasingeli kuzidishieni ila mchafuko, na wange tanga tanga kati yenu kukutilieni fitna. Na miongoni mwenu wapo wanao wasikiliza. Na Mwenyezi Mungu anawajua madhaalimu. |