Yawma Yuĥmaá `Alayhā Fī Nāri Jahannama Fatukwaá Bihā Jibāhuhum Wa Junūbuhum Wa Žuhūruhum Hādhā Mā Kanaztum Li'nfusikum Fadhūqū Mā Kuntum Taknizūna (At-Tawbah: 35). |
35. Siku zitapo tiwa moto katika Moto wa Jahannamu, na kwazo vikachomwa vipaji vya nyuso zao na mbavu zao na migongo yao, wakaambiwa: Haya ndiyo mlio jilimbikia nafsi zenu, basi onjeni mliyo kuwa mkilimbika. |