Yurīdūna 'An Yuţfi'ū Nūra Allāhi Bi'afwāhihim Wa Ya'baá Allāhu 'Illā 'An Yutimma Nūrahu Wa Law Kariha Al-Kāfirūna (At-Tawbah: 32). |
32. Wanataka kuizima Nuru ya Mwenyezi Mungu kwa vinywa vyao, na Mwenyezi Mungu anakataa ila aitimize Nuru yake ijapo kuwa makafiri watachukia. |