Yā 'Ayyuhā Al-Ladhīna 'Āmanū Lā Tattakhidhū 'Ābā'akum Wa 'Ikhwānakum 'Awliyā'a 'In Astaĥabbū Al-Kufra `Alaá Al-'Īmāni Wa Man Yatawallahum Minkum Fa'ūlā'ika Hum Až-Žālimūna (At-Tawbah: 23). |
23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani. Na katika nyinyi atakaye wafanya hao ndio vipenzi vyake, basi hao ndio madhaalimu. |