Wa Al-Ladhīna 'Āmanū Min Ba`du Wa Hājarū Wa Jāhadū Ma`akum Fa'ūlā'ika Minkum Wa 'Ū Al-'Arĥāmi Ba`đuhum 'Awlaá Biba`đin Fī Kitābi Allāhi 'Inna Allāha Bikulli Shay'in `Alīmun (Al-'Anfāl: 75).

Next Sūrah >>    Recite again    
75. Na watakao amini baadaye na wakahajiri, na wakapigana Jihadi pamoja nanyi, basi hao ni katika nyinyi. Na jamaa wa nasaba wanastahikiana wenyewe kwa wenyewe zaidi katika Kitabu cha Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua kila kitu. *