Wa 'In Yurīdū Khiyānataka Faqad Khānū Allāha Min Qablu Fa'amkana Minhum Wa Allāhu `Alīmun Ĥakīmun (Al-'Anfāl: 71). |
| 71. Ikiwa wanataka kukufanyia khiana, wao walikwisha mfanyia khiana Mwenyezi Mungu kabla yake, na Yeye akakuwezesha kuwashinda. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua Mwenye hikima. |