Fakulū Mimmā Ghanimtum Ĥalālāan Ţayyibāan Wa Attaqū Allāha 'Inna Allāha Ghafūrun Raĥīmun (Al-'Anfāl: 69). |
| 69. Basi kuleni katika mlivyo teka, ni halali na vizuri, na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu. |