Mā Kāna Linabīyin 'An Yakūna Lahu 'Asraá Ĥattaá Yuthkhina Fī Al-'Arđi Turīdūna `Arađa Ad-Dunyā Wa Allāhu Yurīdu Al-'Ākhirata Wa Allāhu `Azīzun Ĥakīmun (Al-'Anfāl: 67). |
| 67. Haimfalii Nabii yeyote kuwa na mateka mpaka awe ameshinda baraabara katika nchi. Mnataka vitu vya dunia, na Mwenyezi Mungu anataka Akhera. Na Mwenyezi Mungu ni Mtukufu Mwenye nguvu Mwenye hikima. |