Wa 'In Yurīdū 'An Yakhda`ūka Fa'inna Ĥasbaka Allāhu Huwa Al-Ladhī 'Ayyadaka Binaşrihi Wa Bil-Mu'uminīna (Al-'Anfāl: 62). |
62. Na wakitaka kukukhadaa basi Mwenyezi Mungu atakutosheleza. Kwani Yeye ndiye aliye kuunga mkono kwa nusura yake na kwa Waumini. |