Dhālika Bi'anna Allāha Lam Yaku Mughayyirāan Ni`matan 'An`amahā `Alaá Qawmin Ĥattaá Yughayyirū Mā Bi'anfusihim Wa 'Anna Allāha Samī`un `Alīmun (Al-'Anfāl: 53). |
53. Hayo ni kwa sababu Mwenyezi Mungu habadilishi kabisa neema alizo waneemesha watu, mpaka wao wabadilishe yaliyomo ndani ya nafsi zao. Na hakika Mwwnyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua. |