Wa 'Idhā Lam Ta'tihim Bi'āyatin Qālū Lawlā Ajtabaytahā Qul 'Innamā 'Attabi`u Mā Yūĥaá 'Ilayya Min Rabbī Hādhā Başā'iru Min Rabbikum Wa Hudan Wa Raĥmatun Liqawmin Yu'uminūna (Al-'A`rāf: 203). |
| 203. Na usipo waletea Ishara waitakayo husema: Kwa nini hukuibuni? Sema: mimi ninafuata yanayo funuliwa kwangu kutokana na Mola Mlezi wangu. Hii (Qur'ani) ni hoja zinazo toka kwa Mola wenu Mlezi, na uwongofu na rehema kwa watu wanao amini. |