Wa 'Idh Ta'adhdhana Rabbuka Layab`athanna `Alayhim 'Ilaá Yawmi Al-Qiyāmati Man Yasūmuhum Sū'a Al-`Adhābi 'Inna Rabbaka Lasarī`u Al-`Iqābi Wa 'Innahu Laghafūrun Raĥīmun (Al-'A`rāf: 167). |
167. Na pale alipo tangaza Mola wako Mlezi kwamba hapana shaka atawaletea watu ambao watawaadhibu kwa adhabu mbaya mpaka Siku ya Kiyama. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwepesi wa kuadhibu, na bila ya shaka ni Mwenye maghfira, na Mwenye kurehemu. |