Wa Lammā Sakata `An Mūsaá Al-Ghađabu 'Akhadha Al-'Alwāĥa Wa Fī Nuskhatihā Hudan Wa Raĥmatun Lilladhīna Hum Lirabbihim Yarhabūna (Al-'A`rāf: 154). |
154. Na Musa ilipo mtulia ghadhabu aliziokota zile mbao. Na katika maandiko yake mna uwongofu na rehema kwa wanao mwogopa Mola wao Mlezi. |