Wa Attakhadha Qawmu Mūsaá Min Ba`dihi Min Ĥulīyihim `Ijlāan Jasadāan Lahu Khuwārun 'Alam Yaraw 'Annahu Lā Yukallimuhum Wa Lā Yahdīhim Sabīlāan Attakhadhūhu Wa Kānū Žālimīna (Al-'A`rāf: 148). |
148. Na baada yake walimfanya ndama kutokana na mapambo yao (kumuabudu), kiwiliwili tu kilicho kuwa na sauti. Hivyo, hawakuona kuwa hawasemezi wala hawaongoi njia? Wakamuabudu, na wakawa wenye kudhulumu. |