Ĥaqīqun `Alaá 'An Lā 'Aqūla `Alaá Allāhi 'Illā Al-Ĥaqqa Qad Ji'tukum Bibayyinatin Min Rabbikum Fa'arsil Ma`ī Banī 'Isrā'īla (Al-'A`rāf: 105). |
105. Inafaa nisiseme juu ya Mwenyezi Mungu ila lilio la Haki. Nami hakika nimekujieni na dalili waziwazi kutokana na Mola Mlezi wenu. Basi waache Wana wa Israili wende nami. |