Wa Nādaá 'Aşĥābu Al-'A`rāf Rijālāan Ya`rifūnahum Bisīmāhum Qālū Mā 'Aghnaá `Ankum Jam`ukum Wa Mā Kuntum Tastakbirūna (Al-'A`rāf: 48). |
48. Na hao watu wa Mnyanyukoni watawaita watu wanao wajua kwa alama zao. Watasema: Kujumuika kwenu hakukufaini kitu, wala hicho mlicho kuwa mnafanyia kiburi. |