Wa Mina Al-'Ibili Athnayni Wa Mina Al-Baqari Athnayni Qul 'Āldhdhakarayni Ĥarrama 'Am Al-'Unthayayni 'Ammā Ashtamalat `Alayhi 'Arĥāmu Al-'Unthayayni 'Am Kuntum Shuhadā'a 'Idh Waşşākum Allāhu Bihadhā Faman 'Ažlamu Mimman Aftaraá `Alaá Allāhi Kadhibāan Liyuđilla An-Nāsa Bighayri `Ilmin 'Inna Allāha Lā Yahdī Al-Qawma Až-Žālimīna (Al-'An`ām: 144).

<< Previous Sūrah    <Previous Ayah    Next Ayah >    Next Sūrah >>    Recite again    
144.Na wawili katika ngamia, na wawili katika ng'ombe. Sema: Je, ameharimisha yote madume wawili au majike wawili, au waliomo matumboni mwa yote majike? Au, nyinyi mlikuwapo Mwenyezi Mungu alipo kuusieni haya? Basi ni nani dhaalimu mkubwa kuliko yule aliye mzulia Mwenyezi Mungu uwongo, kwa ajili ya kuwapoteza watu bila ya ilimu? Hakika Mwenyezi Mungu hawahidi watu madhaalimu.