Faman Yurid Allāhu 'An Yahdiyahu Yashraĥ Şadrahu Lil'islāmi Wa Man Yurid 'An Yuđillahu Yaj`al Şadrahu Đayyiqāan Ĥarajāan Ka'annamā Yaşşa``adu Fī As-Samā'i Kadhālika Yaj`alu Allāhu Ar-Rijsa `Alaá Al-Ladhīna Lā Yu'uminūna (Al-'An`ām: 125). |
125. Basi yule ambaye Mwenyezi Mungu anataka kumhidi humfungulia kifua chake kwa Uislamu. Na anaye taka apotee hukifanya kifua chake kina dhiki, kimebana, kama kwamba anapanda mbinguni. Namna hivi Mwenyezi Mungu anajaalia uchafu juu ya wasio amini. |